Psalms 135:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alichukua nchi zao na kuwapa watu wake; naam, ziwe riziki ya watu wake Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akatoa nchi yao kuwa urithi, urithi kwa watu wake Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaitoa nchi yao iwe urithi, Urithi wa Israeli watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alichukua nchi zao na kuwapa watu wake; naam, ziwe riziki ya watu wake Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akatoa nchi yao kuwa urithi, urithi kwa watu wake Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akatoa nchi yao kuwa urithi, urithi kwa watu wake Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaitoa nchi yao iwe urithi, Urithi wa Israeli watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alichukua nchi zao na kuwapa watu wake; naam, ziwe riziki ya watu wake Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akazitoa nchi zao, zitwaliwe, zitwaliwe nao walio ukoo wake wa Isiraeli, ziwe fungu lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaitoa nchi yao iwe urithi, Urithi wa Israeli watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikamata inchi zao kuwa urizi wa watu wake; zikuwe urizi wa watu wake Israeli.