Psalms 135:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, ladumu milele, utakumbukwa kwa fahari nyakati zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, jina lako ladumu milele, kumbukumbu za fahari zako, Ee Mwenyezi Mungu, kwa vizazi vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, jina lako ni la milele, Bwana, kumbukumbu lako vizazi hata vizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, ladumu milele, utakumbukwa kwa fahari nyakati zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, jina lako ladumu milele, kumbukumbu za fahari zako, Ee BWANA, kwa vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, jina lako ladumu milele, kumbukumbu za fahari zako, Ee bwana, kwa vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, jina lako linadumu milele, BWANA, sifa zako zitakumbukwa na vizazi vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jina lako, ee Mwenyezi-Mungu, ladumu milele, utakumbukwa kwa fahari nyakati zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Jina lako ni la kale na kale, Bwana, ukumbuko wako ni wa vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, jina lako ni la milele, BWANA, kumbukumbu lako vizazi hata vizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jina lako, ee Yawe, linadumu milele, utakumbukwa nyakati zote.