Psalms 135:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawatetea watu wake; na kuwaonea huruma watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maana Mwenyezi Mungu atawathibitisha watu wake, na kuwahurumia watumishi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana atawaamua watu wake, Atawahurumia watumishi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawatetea watu wake; na kuwaonea huruma watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maana BWANA atawathibitisha watu wake kuwa wenye haki, na kuwahurumia watumishi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maana bwana atawathibitisha watu wake, na kuwahurumia watumishi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA atawaamua watu wake, Na kuwahurumia watumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawatetea watu wake; na kuwaonea huruma watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana atawaamulia walio ukoo wake kwa kuwaonea uchungu walio watumishi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA atawaamua watu wake, Atawahurumia watumishi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atawatetea watu wake; na kuwaonea huruma watumishi wake.