Psalms 135:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miungu ya uongo ya mataifa ni fedha na dhahabu, imetengenezwa kwa mikono ya binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miungu ya uongo ya mataifa ni fedha na dhahabu, imetengenezwa kwa mikono ya binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miungu ya uongo ya mataifa ni fedha na dhahabu, imetengenezwa kwa mikono ya binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vinyago vya wamizimu ni fedha na dhahabu, mikono ya watu ndiyo iliyovifanya:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miungu ya uongo ya mataifa ni feza na zahabu, imetengenezwa kwa mikono ya wanadamu.