Psalms 135:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ina masikio, lakini haisikii; wala haiwezi hata kuvuta pumzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
zina masikio, lakini haziwezi kusikia, wala hakuna pumzi katika vinywa vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zina masikio lakini hazisikii, Wala hamna pumzi vinywani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ina masikio, lakini haisikii; wala haiwezi hata kuvuta pumzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
zina masikio, lakini haziwezi kusikia, wala hakuna pumzi katika vinywa vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
zina masikio, lakini haziwezi kusikia, wala hakuna pumzi katika vinywa vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zina masikio lakini hazisikii, Wala hamna pumzi vinywani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ina masikio, lakini haisikii; wala haiwezi hata kuvuta pumzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
masikio vinayo, lakini havisikii; wala pumzi hazimo vinywani mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zina masikio lakini hazisikii, Wala hamna pumzi vinywani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)