Psalms 135:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote walioifanya wafanane nayo, naam, kila mmoja anayeitegemea!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazifanyao watafanana nazo, Na kila mmoja anayezitumainia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote walioifanya wafanane nayo, naam, kila mmoja anayeitegemea!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wote wanaozitumainia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanaozitengeneza watafanana nazo, vivyo hivyo wale wote wanaozitumainia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazifanyao watafanana nazo, Na kila mmoja anayezitumainia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote walioifanya wafanane nayo, naam, kila mmoja anayeitegemea!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama hivyo vilivyo, ndivyo, watakavyokuwa nao waliovifanya; nao wote pia waviegemeao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazifanyao watafanana nazo, Na kila mmoja anayezitumainia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote walioifanya wafanane nayo, kila mumoja anayeitegemea!