Psalms 135:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watu wa Israeli, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu! Enyi makuhani, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee nyumba ya Israeli, msifuni Mwenyezi Mungu; ee nyumba ya Haruni, msifuni Mwenyezi Mungu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi mlango wa Israeli, mhimidini Bwana; Enyi mlango wa Haruni, mhimidini Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wa Israeli, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu! Enyi makuhani, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee nyumba ya Israeli, msifuni BWANA; Ee nyumba ya Aroni, msifuni BWANA;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee nyumba ya Israeli, msifuni bwana; ee nyumba ya Haruni, msifuni bwana;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi mlango wa Israeli, mhimidini BWANA; Enyi mlango wa Haruni, mhimidini BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wa Israeli, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu! Enyi makuhani, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlio wa mlango wa Isiraeli, mtukuzeni Bwana! Mlio wa mlango wa Haroni, mtukuzeni Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi mlango wa Israeli, mhimidini BWANA; Enyi mlango wa Haruni, mhimidini BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu wa Israeli, mumutukuze Yawe! Enyi makuhani, mumutukuze Yawe!