Psalms 135:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni enyi mkaao katika nyumba yake, ukumbini mwa nyumba ya Mungu wetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ninyi msimamao nyumbani mwa Bwana, Nyuani mwa nyumba ya Mungu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni enyi mkaao katika nyumba yake, ukumbini mwa nyumba ya Mungu wetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya BWANA, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya bwana, katika nyua za nyumba ya Mungu wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ninyi msimamao nyumbani mwa BWANA, Nyuani mwa nyumba ya Mungu wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni enyi mkaao katika nyumba yake, ukumbini mwa nyumba ya Mungu wetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi msimamao Nyumbani mwake Bwana, nanyi mlioko nyuani penye Nyumba ya Mungu wetu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ninyi msimamao nyumbani mwa BWANA, Nyuani mwa nyumba ya Mungu wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu, enyi munaokaa katika nyumba yake, ndani ya viwanja vya nyumba ya Mungu wetu!