Psalms 135:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi Walawi, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu! Enyi wachaji wa Mwenyezi-Mungu, mtukuzeni!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ee nyumba ya Lawi, msifuni Mwenyezi Mungu; ninyi mnaomcha, msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi mlango wa Lawi, mhimidini Bwana; Ninyi mnaomcha Bwana, mhimidini Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi Walawi, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu! Enyi wachaji wa Mwenyezi-Mungu, mtukuzeni!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee nyumba ya Lawi, msifuni BWANA; ninyi mnaomcha, msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ee nyumba ya Lawi, msifuni bwana; ninyi mnaomcha, msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi mlango wa Lawi, mhimidini BWANA; Ninyi mnaomcha BWANA, mhimidini BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi Walawi, mtukuzeni Mwenyezi-Mungu! Enyi wachaji wa Mwenyezi-Mungu, mtukuzeni!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlio wa mlango wa Lawi, mtukuzeni Bwana! Mmwogopao Bwana, mtukuzeni Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi mlango wa Lawi, mhimidini BWANA; Ninyi mnaomcha BWANA, mhimidini BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi Walawi, mumutukuze Yawe! Enyi munaomwabudu Yawe, mumutukuze!