Psalms 135:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu katika Siyoni, atukuzwe katika makao yake Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu kutoka Sayuni, msifuni yeye aishiye Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ahimidiwe Bwana toka Sayuni, Akaaye Yerusalemu. Haleluya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu katika Siyoni, atukuzwe katika makao yake Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA kutoka Sayuni, msifuni yeye aishiye Yerusalemu. Msifuni BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana kutoka Sayuni, msifuni yeye aishiye Yerusalemu. Msifuni bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ahimidiwe BWANA toka Sayuni, Akaaye Yerusalemu. Haleluya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atukuzwe Mwenyezi-Mungu katika Siyoni, atukuzwe katika makao yake Yerusalemu. Msifuni Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana na atukuzwe mle Sioni, yeye akaaye Yerusalemu! Haleluya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ahimidiwe BWANA toka Sayuni, Akaaye Yerusalemu. Haleluya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atukuzwe Yawe katika Sayuni, atukuzwe katika makao yake Yerusalema. Haleluia!