Psalms 135:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifuni Bwana kwa kuwa Bwana ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA, kwa kuwa BWANA ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana, kwa kuwa bwana ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifuni BWANA kwa kuwa BWANA ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mshangilieni Bwana! Kwani Bwana ni mwema. Liimbieni Jina lake na kupiga mazeze! Kwani ni zuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifuni BWANA kwa kuwa BWANA ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe kwa sababu yeye ni muzuri; mumutukuze kwa nyimbo, maana inafaa.