Psalms 135:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amemchagua Yakobo kuwa wake, nyinyi watu wa Israeli kuwa mali yake mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mwenyezi Mungu amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, Israeli kuwa hazina yake ya pekee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu Bwana amejichagulia Yakobo, Na Israeli, wawe watu wake hasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amemchagua Yakobo kuwa wake, nyinyi watu wa Israeli kuwa mali yake mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana BWANA amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, Israeli kuwa mali yake ya thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, Israeli kuwa mali yake ya thamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu BWANA amejichagulia Yakobo, Na Israeli, wawe watu wake hasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amemchagua Yakobo kuwa wake, nyinyi watu wa Israeli kuwa mali yake mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana alimchagua Yakobo, awe wake, yeye Isiraeli awe mali zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu BWANA amejichagulia Yakobo, Na Israeli, wawe watu wake hasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amemuchagua Yakobo kuwa wake, watu wa Israeli kuwa mali yake mwenyewe.