Psalms 135:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Najua hakika kuwa Mwenyezi-Mungu ni mkuu; Bwana wetu ni mkuu juu ya miungu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninajua ya kuwa Mwenyezi Mungu ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana najua mimi ya kuwa Bwana ni mkuu, Na Bwana wetu yu juu ya miungu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Najua hakika kuwa Mwenyezi-Mungu ni mkuu; Bwana wetu ni mkuu juu ya miungu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninajua ya kuwa BWANA ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu zaidi kuliko miungu yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninajua ya kuwa bwana ni mkuu, kwamba Bwana wetu ni mkuu kuliko miungu yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana najua ya kuwa BWANA ni mkuu, Na Bwana wetu yuko juu ya miungu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Najua hakika kuwa Mwenyezi-Mungu ni mkuu; Bwana wetu ni mkuu juu ya miungu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mimi ninajua, ya kuwa Bwana ni mkuu, ya kuwa Bwana wetu anaipita miungu yote kwa huo ukuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana najua mimi ya kuwa BWANA ni mkuu, Na Bwana wetu yu juu ya miungu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajua hakika kwamba Yawe ni mukubwa; Bwana wetu ni mukubwa kupita miungu yote.