Psalms 135:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hufanya chochote anachotaka, mbinguni, duniani, baharini na vilindini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amefanya kila lililompendeza, Katika mbingu na katika nchi, Katika bahari na katika vilindi vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hufanya chochote anachotaka, mbinguni, duniani, baharini na vilindini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA hufanya lo lote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana hufanya lolote apendalo, mbinguni na duniani, katika bahari na vilindi vyake vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA amefanya kila lililompendeza, Katika mbingu na katika nchi, Katika bahari na katika vilindi vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hufanya chochote anachotaka, mbinguni, duniani, baharini na vilindini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yote, apendezwayo nayo, Bwana huyafanya, ikiwa mbinguni au nchini, ikiwa baharini au kilindini pawapo pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA amefanya kila lililompendeza, Katika mbingu na katika nchi, Katika bahari na katika vilindi vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anafanya chochote anachotaka, mbinguni, katika dunia, ndani ya bahari na shimo ndefu.