Psalms 135:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aletaye mawingu kutoka mipaka ya dunia; afanyaye gharika kuu kwa umeme, na kuvumisha upepo kutoka ghala zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; hupeleka miali ya radi pamoja na mvua na huleta upepo kutoka ghala zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika hazina zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aletaye mawingu kutoka mipaka ya dunia; afanyaye gharika kuu kwa umeme, na kuvumisha upepo kutoka ghala zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua na huleta upepo kutoka ghala zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua na huleta upepo kutoka ghala zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika ghala zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aletaye mawingu kutoka mipaka ya dunia; afanyaye gharika kuu kwa umeme, na kuvumisha upepo kutoka ghala zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye anayepandisha mawingu akiyatoa mapeoni kwa nchi, yeye ndiye anayefanya umeme na mvua pamoja, yeye ndiye anayeutoa nao upepo malimbikioni kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika hazina zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Analeta mawingu kutoka miisho ya dunia, anapiga umeme na kunyesha mvua, anavumisha upepo kutoka gala zake.