Psalms 135:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aliyewaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, wazaliwa wa watu na wanyama kadhalika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliwapiga wazaliwa wa kwanza wa Misri, Wa wanadamu na wa wanyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aliyewaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, wazaliwa wa watu na wanyama kadhalika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alimwua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, mzaliwa wa kwanza wa wanadamu na wanyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliwapiga wazaliwa wa kwanza wa Misri, Wa wanadamu na wa wanyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aliyewaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, wazaliwa wa watu na wanyama kadhalika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye aliyewapiga kule Misri wazaliwa wa kwanza akianzia kwa watu, akimalizia kwao nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliwapiga wazaliwa wa kwanza wa Misri, Wa wanadamu na wa wanyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwaua wazaliwa wa kwanza huko Misri, wazaliwa wa watu na wa nyama vilevile.