Psalms 135:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aliyefanya ishara na maajabu kwako, ee Misri, dhidi ya Farao na maofisa wake wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, ee Misri, dhidi ya Farao na watumishi wake wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipeleka ishara na maajabu kati yako, Ee Misri, Juu ya Farao na watumishi wake wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aliyefanya ishara na maajabu kwako, ee Misri, dhidi ya Farao na maofisa wake wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, Ee Misri, dhidi ya Farao na watumishi wake wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, ee Misri, dhidi ya Farao na watumishi wake wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alituma ishara na maajabu kati yako, Ee Misri, Juu ya Farao na watumishi wake wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aliyefanya ishara na maajabu kwako, ee Misri, dhidi ya Farao na maofisa wake wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye aliyetuma vielekezo na vioja, vikutokee kwako, wewe Misri, vimshinde Farao na watumishi wake wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipeleka ishara na maajabu kati yako, Ee Misri, Juu ya Farao na watumishi wake wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifanya miujiza na maajabu kwako, ee Misri, mufalme wa Misri na wakubwa wake wote.