Psalms 136:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaondoa watu wa Israeli kutoka huko; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na kuwatoa Israeli katikati yao, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawatoa Waisraeli katikati yao; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaondoa watu wa Israeli kutoka huko; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na kuwatoa Israeli katikati yao, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na kuwatoa Israeli katikati yao, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawatoa Waisraeli katikati yao; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaondoa watu wa Israeli kutoka huko; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatoa Waisiraeli katika nchi yao, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawatoa Waisraeli katikati yao; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaondoa watu wa Israeli kutoka huko. Wema wake unadumu milele.