Psalms 136:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mkono wake wenye nguvu na enzi; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mkono wenye nguvu ulionyooshwa, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mkono wake wenye nguvu na enzi; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mkono wenye nguvu ulionyooshwa, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mkono wenye nguvu ulionyooshwa, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mkono wake wenye nguvu na enzi; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nguvu za viganja vyake, alipoikunjua mikono yake, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa mkono hodari na mkono ulionyoshwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaondoa kwa mukono wake wenye nguvu na mamlaka. Wema wake unadumu milele.