Psalms 136:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawapitisha watu wa Israeli humo; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na kuwapitisha Israeli katikati yake, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawavusha Israeli katikati yake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawapitisha watu wa Israeli humo; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na kuwapitisha Israeli katikati yake, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na kuwapitisha Israeli katikati yake, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawavusha Israeli katikati yake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawapitisha watu wa Israeli humo; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawapitisha Waisiraeli hapo katikati, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawavusha Israeli katikati yake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawapitisha watu wa Israeli humo. Wema wake unadumu milele.