Psalms 136:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaua wafalme maarufu; kwa maana fadhili zake zadumu milele;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye aliwaua wafalme wenye nguvu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaua wafalme mashuhuri; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaua wafalme maarufu; kwa maana fadhili zake zadumu milele;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye aliwaua wafalme wenye nguvu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye aliwaua wafalme wenye nguvu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaua wafalme mashuhuri; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaua wafalme maarufu; kwa maana fadhili zake zadumu milele;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaua wafalme wenye nguvu, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaua wafalme mashuhuri; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaua wafalme wenye utukufu. Wema wake unadumu milele.