Psalms 136:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akachukua nchi zao akawapa watu wake; kwa maana fadhili zake zadumu milele;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaitoa nchi yao iwe urithi; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akachukua nchi zao akawapa watu wake; kwa maana fadhili zake zadumu milele;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaitoa nchi yao iwe urithi; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akachukua nchi zao akawapa watu wake; kwa maana fadhili zake zadumu milele;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akazitoa nchi zao, zitwaliwe, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaitoa nchi yao iwe urithi; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akakamata inchi zao kuwa urizi wa watu wake. Wema wake unadumu milele.