Psalms 136:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akatuokoa kutoka maadui zetu; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alituweka huru toka adui zetu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatuokoa na watesi wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akatuokoa kutoka maadui zetu; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alituweka huru toka adui zetu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alituweka huru toka adui zetu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatuokoa na watesi wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akatuokoa kutoka maadui zetu; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatuponya na kutuokoa kwao watusongao, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatuokoa na watesi wetu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatuokoa kutoka waadui zetu. Wema wake unadumu milele.