Psalms 136:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila chenye mwili akipa chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye akipaye kila kiumbe chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiye anayewapa vilaji wote walio wenye miili, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila chenye mwili akipa chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapatia kila kiumbe chenye uzima chakula. Wema wake unadumu milele.