Psalms 136:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye peke yake atendaye makuu ya ajabu; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwake yeye pekee atendaye maajabu makuu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye peke yake atendaye makuu ya ajabu; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwake yeye pekee atendaye maajabu makuu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwake yeye pekee atendaye maajabu makuu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye peke yake atendaye makuu ya ajabu; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni yeye peke yake afanyaye mataajabu makuu, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye peke yake anatenda miujiza mikubwa. Wema wake unadumu milele.