Psalms 136:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aliyeziumba mbingu kwa hekima; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye aliyefanya mbingu kwa fahamu zake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aliyeziumba mbingu kwa hekima; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ambaye kwa ufahamu wake aliziumba mbingu, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye aliyeumba mbingu kwa fahamu zake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aliyeziumba mbingu kwa hekima; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiye aliyezifanya mbingu kwa utambuzi wake, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye aliyefanya mbingu kwa fahamu zake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliumba mbingu kwa hekima. Wema wake unadumu milele.