Psalms 136:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aliyeitengeneza nchi juu ya vilindi vya maji; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ambaye aliitandaza dunia juu ya maji, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye aliyeitandaza nchi juu ya maji; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aliyeitengeneza nchi juu ya vilindi vya maji; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ambaye aliitandaza dunia juu ya maji, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ambaye aliitandaza dunia juu ya maji, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye aliyeitandaza nchi juu ya maji; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aliyeitengeneza nchi juu ya vilindi vya maji; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiye aliyeitandika nchi juu ya maji, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye aliyeitandaza nchi juu ya maji; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitengeneza inchi juu ya vilindi vya maji. Wema wake unadumu milele.