Psalms 136:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aliyeumba jua, mwezi na nyota; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye aliyefanya mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aliyeumba jua, mwezi na nyota; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye aliyeumba mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aliyeumba jua, mwezi na nyota; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiye aliyeifanya mianga mikubwa, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye aliyefanya mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliumba jua, mwezi na nyota. Wema wake unadumu milele.