Psalms 136:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua liutawale mchana; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua litawale mchana, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jua litawale mchana; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua liutawale mchana; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jua litawale mchana, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jua litawale mchana, Fadhili zake zadumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jua litawale mchana; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua liutawale mchana; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua alilipa kutawala mchana, kwani upole wake ni wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jua litawale mchana; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliumba jua litawale muchana. Wema wake unadumu milele.