Psalms 137:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kando ya mito ya Babuloni, tulikaa, tukawa tunalia tulipokumbuka Siyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza tulipokumbuka Sayuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kando ya mito ya Babuloni, tulikaa, tukawa tunalia tulipokumbuka Siyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza tulipokumbuka Sayuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza tulipokumbuka Sayuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kando ya mito ya Babuloni, tulikaa, tukawa tunalia tulipokumbuka Siyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mito ya Babeli twalikaa na kulia tulipoikumbuka Sioni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, Tukalia tulipoikumbuka Sayuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kandokando ya mito ya Babeli tuliikaa tukilia, tulipokumbuka Sayuni.