Psalms 137:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliotuteka walitutaka tuwaimbie; watesi wetu walitutaka tuwafurahishe: “Tuimbieni mojawapo ya nyimbo za Siyoni!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo; watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka furaha; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliotuteka walitutaka tuwaimbie; watesi wetu walitutaka tuwafurahishe: “Tuimbieni mojawapo ya nyimbo za Siyoni!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo, watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo, watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka tuwatumbuize; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliotuteka walitutaka tuwaimbie; watesi wetu walitutaka tuwafurahishe: “Tuimbieni mojawapo ya nyimbo za Siyoni!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kule waliotuteka walitushurutisha kuimba nyimbo, wao waliotuumiza walitaka, tuwachezee, wakasema: Tuimbieni wimbo wa Sioni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka furaha; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliotupeleka kuwa watumwa walitaka tuwaimbie; watesaji wetu walitaka tuwafurahishe, wakituambia: “Mutuimbie nyimbo zimoja za Sayuni!”