Psalms 137:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twawezaje kuimba wimbo wa Mwenyezi-Mungu katika nchi ya kigeni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tutaimbaje nyimbo za Mwenyezi Mungu, tukiwa nchi ya kigeni?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tuuimbeje wimbo wa Bwana Katika nchi ya ugeni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twawezaje kuimba wimbo wa Mwenyezi-Mungu katika nchi ya kigeni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tutaimbaje nyimbo za BWANA, tukiwa katika nchi ya kigeni?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tutaimbaje nyimbo za bwana, tukiwa nchi ya kigeni?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twawezaje kuimba wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twawezaje kuimba wimbo wa Mwenyezi-Mungu katika nchi ya kigeni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini tungaliwezaje kuimba wimbo wa Bwana katika nchi ya ugeni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tuuimbeje wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Namna gani tunaweza kuimba wimbo wa Yawe katika inchi ya kigeni?