Psalms 137:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Yerusalemu, kama nikikusahau, mkono wangu wa kulia na ukauke!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikikusahau wewe, ee Yerusalemu, basi mkono wangu wa kuume na usahau ujuzi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Yerusalemu, nikikusahau wewe, Mkono wangu wa kuume na usahau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Yerusalemu, kama nikikusahau, mkono wangu wa kulia na ukauke!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikikusahau wewe, Ee Yerusalemu, basi mkono wangu wa kuume na usahau ujuzi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikikusahau wewe, ee Yerusalemu, basi mkono wangu wa kuume na usahau ujuzi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikikusahau, Ee Yerusalemu, Mkono wangu wa kuume na upooze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Yerusalemu, kama nikikusahau, mkono wangu wa kulia na ukauke!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ningekusahau, Yerusalemu, nao mkono wangu wa kuume na usahauliwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Yerusalemu, nikikusahau wewe, Mkono wangu wa kuume na usahau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yerusalema, kama nikikusahau, mukono wangu wa kuume ukauke!