Psalms 137:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulimi wangu na uwe mzito, kama nisipokukumbuka wewe, ee Yerusalemu; naam, nisipokuthamini kuliko furaha yangu kubwa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu kama sitakukumbuka wewe, kama nisipokufikiri Yerusalemu kuwa furaha yangu kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka. Nisipoikuza Yerusalemu Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulimi wangu na uwe mzito, kama nisipokukumbuka wewe, ee Yerusalemu; naam, nisipokuthamini kuliko furaha yangu kubwa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu kama sitakukumbuka wewe, kama nisipokufikiri Yerusalemu kuwa furaha yangu kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu kama sitakukumbuka wewe, kama nisipokufikiri Yerusalemu kuwa furaha yangu kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka. Nisipoikuza Yerusalemu Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulimi wangu na uwe mzito, kama nisipokukumbuka wewe, ee Yerusalemu; naam, nisipokuthamini kuliko furaha yangu kubwa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulimi wangu sharti ugandamane na ufizi wangu, nisipokukumbuka, nisipoukweza Yerusalemu kuwa furaha yangu kuu kuliko nyingine zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulimi wangu na ugandamane Na kaakaa la kinywa changu, nisipokukumbuka. Nisipoikuza Yerusalemu Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulimi wangu ukuwe muzito, kama nisipokukumbuka wewe, ee Yerusalema, nisipokufurahia kuliko furaha yangu kubwa!