Psalms 137:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Babuloni, utaangamizwa! Heri yule atakayekulipiza mabaya uliyotutenda!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, heri yeye atakayekulipiza wewe kwa yale uliyotutenda sisi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee binti Babeli, uliye karibu na kuangamia, Heri atakayekupatiliza, ulivyotupatiliza sisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Babuloni, utaangamizwa! Heri yule atakayekulipiza mabaya uliyotutenda!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, ana furaha yeye ambaye atakulipiza wewe kwa yale uliyotutenda sisi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, heri yeye atakayekulipiza wewe kwa yale uliyotutenda sisi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee binti Babeli, uliye karibu na kuangamia, Heri atakayekupatiliza, ulivyotupatiliza sisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Babuloni, utaangamizwa! Heri yule atakayekulipiza mabaya uliyotutenda!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe binti Babeli, utakuwa mahame tu. Mwenye shangwe ndiye atakayekulipisha hayo matendo yako, uliyotutendea sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee binti Babeli, uliye karibu na kuangamia, Heri atakayekupatiliza, ulivyotupatiliza sisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Babeli, muharibifu wee! Heri yule atakayekulipiza mabaya uliyotutendea!