Psalms 137:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri yule atakayewatwaa watoto wako na kuwapondaponda mwambani!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga na kuwaponda juu ya miamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri yeye atakayewakamata wadogo wako, Na kuwaseta wao juu ya mwamba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri yule atakayewatwaa watoto wako na kuwapondaponda mwambani!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga na kuwaponda juu ya miamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga na kuwaponda juu ya miamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri yeye atakayewakamata wadogo wako, Na kuwaseta wao juu ya mwamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri yule atakayewatwaa watoto wako na kuwapondaponda mwambani!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ndiye atakayewakamata watoto wako wachanga na kuwaponda mwambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri yeye atakayewakamata wadogo wako, Na kuwaseta wao juu ya mwamba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri yule atakayetwaa watoto wako na kuwapondaponda juu ya jiwe!