Psalms 138:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kwa moyo wangu wote, naimba sifa zako mbele ya miungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakusifu wewe, Ee Mwenyezi Mungu, kwa moyo wangu wote, mbele ya “miungu” nitaimba sifa zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kwa moyo wangu wote, naimba sifa zako mbele ya miungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Nitakusifu wewe, Ee BWANA, kwa moyo wangu wote, mbele ya “miungu” nitaimba sifa zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakusifu wewe, Ee bwana, kwa moyo wangu wote, mbele ya “miungu” nitaimba sifa zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, kwa moyo wangu wote, naimba sifa zako mbele ya miungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa moyo wangu wote nitakushukuru, nitakuimbia na kupiga zeze mbele ya miungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Ninakushukuru, ee Yawe, kwa moyo wangu wote, ninaimba sifa zako mbele ya miungu.