Psalms 138:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme wote duniani watakusifu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa sababu wameyasikia maneno yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee Mwenyezi Mungu, wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, wafalme wote wa dunia watakushukuru, Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme wote duniani watakusifu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa sababu wameyasikia maneno yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme wote wa dunia, na wakusifu wewe Ee BWANA, wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee bwana, wakati wanaposikia maneno ya kinywa chako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, wafalme wote wa dunia watakushukuru, Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme wote duniani watakusifu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa sababu wameyasikia maneno yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wafalme wote wa nchi watakushukuru watakapokuwa wameyasikia maneno, kinywa chako kiliyoyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, wafalme wote wa dunia watakushukuru, Watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme wote katika dunia watakusifu, ee Yawe, kwa sababu wameyasikia maneno yako.