Psalms 138:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataimba sifa za matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, kwa maana utukufu wako ni mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao na waimbe kuhusu njia za Mwenyezi Mungu, kwa maana utukufu wa Mwenyezi Mungu ni mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, wataziimba njia za Bwana, Kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataimba sifa za matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, kwa maana utukufu wako ni mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao na waimbe kuhusu njia za BWANA, kwa maana utukufu wa BWANA ni mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao na waimbe kuhusu njia za bwana, kwa maana utukufu wa bwana ni mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, wataziimba njia za BWANA, Kwa maana utukufu wa BWANA ni mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataimba sifa za matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, kwa maana utukufu wako ni mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapozishika njia za Bwana wataimba, ya kuwa utukufu wa Bwana ni mkubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, wataziimba njia za BWANA, Kwa maana utukufu wa BWANA ni mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wataimba sifa za matendo yako, ee Yawe, kwa maana utukufu wako ni mukubwa.