Psalms 138:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa wewe ee Mwenyezi-Mungu, uko juu ya wote, unawaangalia kwa wema walio wanyonge; nao wenye kiburi huwaona kutoka mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa Mwenyezi Mungu yuko juu, humwangalia mnyonge, bali mwenye kiburi yeye anamjua kutokea mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu, Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa wewe ee Mwenyezi-Mungu, uko juu ya wote, unawaangalia kwa wema walio wanyonge; nao wenye kiburi huwaona kutoka mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa BWANA yuko juu, humwangalia mnyonge, bali mwenye kiburi yeye anamjua kutokea mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa bwana yuko juu, humwangalia mnyonge, bali mwenye kiburi yeye anamjua kutokea mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ingawa BWANA yuko juu, anamjali mnyenyekevu, Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa wewe ee Mwenyezi-Mungu, uko juu ya wote, unawaangalia kwa wema walio wanyonge; nao wenye kiburi huwaona kutoka mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana huko juu aliko humtazama mnyenyekevu, lakini mwenye majivuno anamjua, akiwa yuko mbali bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ingawa BWANA yuko juu, amwona mnyenyekevu, Naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ingawa wewe uko juu ya wote, unawaangalia wanyenyekevu kwa wema; lakini, unatambua wenye kiburi kwa mbali.