Psalms 138:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata nikikumbana na taabu, wewe wanilinda; waunyosha mkono wako dhidi ya hasira ya maadui zangu wakali; kwa nguvu yako kuu wanisalimisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nijapopita katikati ya shida, wewe unayahifadhi maisha yangu, unanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, kwa mkono wako wa kuume unaniokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha, Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu, Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata nikikumbana na taabu, wewe wanilinda; waunyosha mkono wako dhidi ya hasira ya maadui zangu wakali; kwa nguvu yako kuu wanisalimisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nijapopita katikati ya shida, wewe unayahifadhi maisha yangu, unanyosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, kwa mkono wako wa kuume unaniokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nijapopita katikati ya shida, wewe unayahifadhi maisha yangu, unanyoosha mkono wako dhidi ya hasira ya adui zangu, kwa mkono wako wa kuume unaniokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nijapopitia katika shida, Unanilinda juu ya hasira ya adui zangu, Unaunyosha mkono wako, Na mkono wako wa kuume unaniokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata nikikumbana na taabu, wewe wanilinda; waunyosha mkono wako dhidi ya hasira ya maadui zangu wakali; kwa nguvu yako kuu wanisalimisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ninaendelea kusongeka po pote, unanishika moyo, nisizimie; makali ya adui zangu uliyainulia mkono wako. mkono wako wa kuume ukaniokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha, Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu, Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata nikisongwa na taabu, wewe unanilinda. Unanyoosha mukono wako juu ya waadui zangu wakali, kwa nguvu yako kubwa unaniokoa.