Psalms 138:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, utatimiza yote uliyoniahidi. Fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, zadumu milele. Usisahau kazi ya mkono wako mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atatimiza kusudi lake kwangu, Ee Mwenyezi Mungu, upendo wako wadumu milele: usiziache kazi za mikono yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atanitimilizia mambo yangu; Ee Bwana, fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, utatimiza yote uliyoniahidi. Fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, zadumu milele. Usisahau kazi ya mkono wako mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA atatimiza kusudi lake kwangu, Ee BWANA, upendo wako wadumu milele: usiziache kazi za mikono yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana atatimiza kusudi lake kwangu, Ee bwana, upendo wako wadumu milele: usiziache kazi za mikono yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atanitimizia malengo yake kwangu; Ee BWANA, fadhili zako ni za milele; Usiiache kazi ya mikono yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, utatimiza yote uliyoniahidi. Fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, zadumu milele. Usisahau kazi ya mkono wako mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atanimalizia jambo hili, upole wako, Bwana, ni wa kale na kale. Kazi za mikomo yako usiziache!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atanitimilizia mambo yangu; Ee BWANA, fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, utatimiza yote uliyoniahidia. Wema wako, ee Yawe, unadumu milele. Usisahau kazi ya mukono wako mwenyewe.