Psalms 139:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenichunguza; wewe wanijua mpaka ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, umenichunguza na kunijua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, umenichunguza na kunijua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenichunguza; wewe wanijua mpaka ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, umenichunguza na kunijua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, umenichunguza na kunijua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, umenichunguza na kunijua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe umenichunguza; wewe wanijua mpaka ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, unanichunguza, unanijua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, umenichunguza na kunijua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi. Ee Yawe, wewe umenichunguza, wewe unanijua mpaka ndani.