Psalms 139:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ningeliomba giza linifunike, giza linizunguke badala ya mwanga,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikisema, “Hakika giza litanificha na nuru inayonizunguka iwe usiku,”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama nikisema, Hakika giza litanifunika, Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ningeliomba giza linifunike, giza linizunguke badala ya mwanga,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama nikisema, “Hakika giza litanificha na nuru inayonizunguka iwe usiku,”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama nikisema, “Hakika giza litanificha na nuru inayonizunguka iwe usiku,”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama nikisema, Hakika giza litanifunika, Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ningeliomba giza linifunike, giza linizunguke badala ya mwanga,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ningesema: Giza na liniguie, nao mwanga unizungukao na uwe usiku,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama nikisema, Hakika giza litanifunika, Na nuru inizungukayo ingekuwa usiku;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ningeliomba giza linifunike, giza linizunguke pahali pa mwangaza,