Psalms 139:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wangaa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hata giza halitakuwa giza kwako, usiku utang’aa kama mchana, kwa kuwa giza ni kama nuru kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wang'aa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hata giza halitakuwa giza kwako, usiku utang'aa kama mchana, kwa kuwa giza ni kama nuru kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hata giza halitakuwa giza kwako, usiku utang’aa kama mchana, kwa kuwa giza ni kama nuru kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wangaa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
giza nalo lisingekuwa lenye weusi machoni pako; maana usiku huangaza kama mchana huko uliko, kwako giza na mwanga huwa sawasawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwako giza si giza hata kidogo, na usiku unaangaa kama muchana; kwako giza na mwangaza ni sawa.