Psalms 139:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe umeniumba, mwili wangu wote; ulinitengeneza tumboni mwa mama yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana wewe ndiwe uliyeumba utu wangu wa ndani; uliniunga pamoja tumboni mwa mama yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe umeniumba, mwili wangu wote; ulinitengeneza tumboni mwa mama yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana wewe ndiwe uliyeumba utu wangu wa ndani; uliniunga pamoja tumboni mwa mama yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana wewe ndiwe uliyeumba utu wangu wa ndani; uliniunga pamoja tumboni mwa mama yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe umeniumba, mwili wangu wote; ulinitengeneza tumboni mwa mama yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe ndiwe uliyeyaumba mafigo yangu, ndiwe uliyeniunga tumboni mwa mama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe uliniumba mwili wangu wote; ulinitengeneza katika tumbo la mama yangu.