Psalms 139:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakusifu maana nimefanywa kwa namna ya ajabu, matendo yako ni ya ajabu; wewe wanijua kabisakabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninakusifu kwa sababu nimeumbwa kwa namna ya ajabu na ya kutisha; kazi zako ni za ajabu, ninajua hayo kikamilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakusifu maana nimefanywa kwa namna ya ajabu, matendo yako ni ya ajabu; wewe wanijua kabisakabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninakusifu kwa sababu nimeumbwa kwa namna ya ajabu na ya kutisha; kazi zako ni za ajabu, ninajua hayo kikamilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninakusifu kwa sababu nimeumbwa kwa namna ya ajabu na ya kutisha; kazi zako ni za ajabu, ninajua hayo kikamilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa njia ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakusifu maana nimefanywa kwa namna ya ajabu, matendo yako ni ya ajabu; wewe wanijua kabisakabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninakushukuru, kwani ni ajabu litishalo, jinsi nilivyotengenezwa, vilivyo kazi zako hustaajabisha kweli, roho yangu inavijua sanasana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakusifu maana umeniumba kwa namna ya ajabu. Matendo yako ni ya ajabu. Wewe unanijua kabisa kabisa.