Psalms 139:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umbo langu halikufichika kwako nilipotungwa kwa siri na ustadi ndani ya dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umbile langu halikufichika kwako, nilipoumbwa mahali pa siri. Nilipoungwa pamoja kwa ustadi katika vilindi vya nchi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi pande za chini za nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umbo langu halikufichika kwako nilipotungwa kwa siri na ustadi ndani ya dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umbile langu halikufichika kwako, nilipoumbwa mahali pa siri. Nilipoungwa pamoja kwa ustadi katika vilindi vya nchi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umbile langu halikufichika kwako, nilipoumbwa mahali pa siri. Nilipoungwa pamoja kwa ustadi katika vilindi vya nchi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi katika pande za chini za nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umbo langu halikufichika kwako nilipotungwa kwa siri na ustadi ndani ya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mifupa yangu haikuwa imefichika, usiione, nilipofanyiziwa mahali palipojificha, maana nilitengenezwa mbali sana ndani ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi pande za chini za nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umbo langu halikufichikwa kwako nilipoumbwa kwa uficho, nilipotengenezwa ndani ya tumbo la mama yangu.