Psalms 139:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, mawazo yako ni makuu mno; hayawezi kabisa kuhesabika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi yalivyo ya thamani mawazo yako kwangu, Ee Mungu! Jinsi jumla yake ilivyo kubwa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu, fikira zako zina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyo kubwa jumla yake!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, mawazo yako ni makuu mno; hayawezi kabisa kuhesabika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama jinsi gani yalivyo ya thamani mawazo yako kwangu, Ee Mungu! Jinsi gani jumla yake ilivyo kubwa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi yalivyo ya thamani mawazo yako kwangu, Ee Mungu! Jinsi jumla yake ilivyo kubwa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mawazo yako ni mazito sana kwangu; Ee Mungu; nayo ni makuu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, mawazo yako ni makuu mno; hayawezi kabisa kuhesabika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwangu ni vigumu sana kuyajua mawazo yako, Bwana, nikiyachanganya, yako na nguvu za kunishinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu, fikira zako zina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyo kubwa jumla yake!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, mawazo yako ni makubwa sana; hayawezi kabisa kuhesabiwa.