Psalms 139:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti, ee Mungu, ungewaua watu waovu! Laiti watu wauaji wangeondoka kwangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, laiti ungewafisha waovu! Enyi watu wa damu, ondokeni kwangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti, ee Mungu, ungewaua watu waovu! Laiti watu wauaji wangeondoka kwangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laiti ungewachinja waovu, Ee Mungu! Ondokeni kwangu, ninyi wamwaga damu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, laiti ungewaua waovu! Na laiti watu wa damu wangetoka kwangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti, ee Mungu, ungewaua watu waovu! Laiti watu wauaji wangeondoka kwangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nakuomba, Mungu, uwaue wasiokucha, wenye manza za damu waondoke kwangu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, laiti ungewafisha waovu! Enyi watu wa damu, ondokeni kwangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri, ee Mungu, ungewaua watu waovu! Heri wauaji wangeniondokea!